Uandishi na Uchakatishaji wa Vitabu
Kuhariri, typesetting, na utengenezaji wa jalada — tunakusaidia kuchapisha kitabu chako kwa ubora.


CEO — HaSwa Digital
HaSwa Digital ni kampuni ya kiteknolojia inayojikita katika utengenezaji wa mifumo ya kidigitali, maendeleo ya programu, na utoaji wa huduma za TEHAMA kwa sekta za elimu, biashara na jamii.
Tunatoa suluhisho la tovuti, programu za simu, mifumo ya usimamizi wa taarifa, na msaada wa teknolojia kwa shirika ndogo na kubwa. Lengo letu ni kufanya teknolojia iwe rahisi, salama na inayowawezesha watumiaji.
Kila mradi tunaufanyia tathmini, muundo, utekelezaji na msaada wa baada ya uzinduzi ili kuhakikisha ufanisi na uendelevu.
25 December, 2025 • HaSwa Digital HQ
Goodbye 2025
28 October, 2025
23 October, 2025
03 August, 2024
03 August, 2024