Chemistry ni sayansi inayochunguza vitu (matter), mali zake, muundo na mabadiliko yanayotokea. Hapa chini ni baadhi ya mada muhimu za kusoma.
Matter ni kitu chochote chenye uzito (mass) na kinachochukua nafasi (volume).
Elements ni vitu safi vyenye atomi za aina moja. Compounds ni mchanganyiko wa elementi mbili au zaidi.
Mmenyuko wa kemikali hutokea pale ambapo vitu vinabadilika na kutoa vitu vipya.
Jedwali la Perodiki linaonyesha elementi zote na jinsi zinavyohusiana kwa mali zao.